Sunday, January 30, 2011

NEW ARRIVALS.....@VIATUZI!!


WARI WANGU MPOOOO MSHINDWE WENYEWE KUPENDEZA SIKU YENU HARUSI....... JIPATIE PICHA UTAKAVYOFUNIKAAAA.....kwenye photo shoot msisahau lile pozi letu la viatuziiii




VISINGIZIO VYENU VILE OOOH MIE ZEZE SIWEZI TEMBELEA VIATU VIREFUUU...HAKUNA TENA KILA UREFUUU UTAPATAAA MWARI WEEE....USIPOPENDEZA UNA DHAMBI WE
MAHARUSI HAKUNA KUSINGIZIA RANGI AU VIATU HAKUNA MSHINDWE WENYEWEEEEE......MPEWEEE NINI TENAAAA.....Hapo unabakiza pedicure tu!!

SASA ITABIDI MKISHAPATA KIATU NDO MPANGE RANGI YA SHUGHULI....WAPATIE PICHA MAIDS WAKO KAMA SI WEWE KWENYE SENDOFF AU KITCHEN PARTY.....

wale wa flats......tumekumbukwa ni za ukweliiii ....vya UKWE'E hadi ikulu ninaruhusiwa





VIATUZIIIIIII NA VITUPIOOO










mamamamammam hatariiiiiii ni ile lace jamaniiiii........naendelea na rehesal ya kuvaa mning'inio mie



HICHI NI KITU CHA VELVET....NA HII NDO ILE BOLD COLOR YETU YA GREEN ILIYOISHIKAAA RED CARPET YA GOLDEN GLOBE AWARD MAJUU...sasa ndani ta tzzzz


kitu cha tai hapo kati